Sunday, August 26, 2012

OCKLOCK MUNGU YAKARIBIA SAANA

Maisha yapoonekana kuwa ni ya taabu sana kwako, uenda umefiwa na mume,mke,watoto,rafiki yako kipenzi saana au hata umeomba weee kwa muda wa miaka mngi haujapata mtoto, kazi, ajira, mwenzi wa maisha, au hata nafasi ya kuendelea na masomo ya elimu ya juu vyuoni, fahamu kwamba saa ya MUNGU iko na inasubiri ifike , ama kwa kuchelewa saana au kwa muda fulani lakini jua ya kwamba kila lile lililo maumivu kwako sasa atalifanya kufa furaha kwako na kukufuta machozi kwa kukupatia jibu la shida yako kinachohitajika ni kuwa na uvumilivu, maana saa yake itatimia hivi karibuni

No comments:

Post a Comment