Tuesday, December 18, 2012

KUWEKEA NDOA YAKO MSINGI MZURI(3);

KUWEKEA NDOA YAKO MSINGI MZURI(3);
KUFAANA.
Ukifahamu mambo yote hayo yanayotakiwa na mwili, akili na roho, Je! Unajua kama mtu unayetazamia kuoana naye anayafahamu vilevile? Haikupasi ujue tu mambo ambayo wewe peke yako unataka ili uwe na furaha katika ndoa, bali yakupasa vilevile ufahamu na yale ya mwenzako. Bila shaka wataka mwenzako awe na furaha vilevile. Huzuni ya mmoja itakuwa huzuni ya nyote wawili.
Ndoa nyingi zitakuwa na mwisho wenye huzuni au talaka kwa sababu za kukosa kufaana(kutopatana). Kutofaana ni neno kubwa, lakini linakuwa kubwa hata zaidi katika ndoa. Ikiwa watu wawili hawafaani kukaa pamoja, maisha yanaweza kuwa yenye matata. Hali hiyo inakumbusha mpango wa sheria ya Musa ambayo kwa sababu ya rehema ilikataza kufunga pamoja wanyama wawili wenye mwili na nguvu tofauti katika nira moja, kwa sababu kufanya hivyo kungefanyiza matata(Kumbukumbu la torati 22:10)Ndivyo walivyo mwanamume na mwanamke wasio faana lakini wanaofungwa katika ndoa. Ikiwa waume na wake wanakuwa na mapendezi tofauti , rafiki tofauti, na tafrija tofauti, na kushiriki pamoja mambo machache, vifungo vya ndoa vinapata matata makubwa.
“Pasipo mazungumzo ya siri, mipango inavunjika,” ndiyo Biblia inavyotuambia. (Mithali 15:22) Je!mambo yanayofaa yamezungumzwa wakati wa kufikiria ndoa? Itaamua mahali mtakakoishi na kiasi cha fedha zitakazokuwa zikipatikana ili mtimize mambo yanayofaa mnayotaka. Ni nani atakayekuwa akifanya mipango ya matumizi ya fedha? Je! Kuna lazima ya mke kufanya kazi, na je! Inafaa? Uhusiano (hali) pamoja na wakwe utakuwaje, sana sana wazazi wa mume na wale wa mke? Kila mmoja anaonaje ngono, watoto na kulea watoto? Je! Mmoja anataka kumtawala mwenzake, au huruma ndiyo itakayoongoza uhusiano huo?
Je! Maulizo hayo yote na mengine vilevile, yaweza kuzungumzwa kwa utulivu na kwa busara, na kumalizwa kwa njia ambayo nyote wawili mwaweza kuishi kwa raha? Je! Mwaweza kupata magumu na kuyamaliza pamoja, na kuendelea kupashana habari siku zote? Hiyo ndiyo njia ya maisha ya ndoa inayofanikiwa.
Kwa kawaida kufaana zaidi kunakuwako kati ya watu wawili wanaopatana hali za maisha. Kitabu cha Aid to bible understanding, ukurasa 1114, kinaeleza hivi juu ya ndoa katika nyakati za biblia: “Inaonekana kwamba desturi ya watu wote ilikuwa ile ya mwanamume kuoa katika watu wa ukoo au katika kabila lake mwenyewe.Kanuni hiyo inaonyeshwa na maneno ya Labani aliyomwambia Yakobo: ‘Afadhali nikupe wewe (binti yangu) kuliko kumpa mtu mwingine.’- Mwanzo 29:19 sana sana desturi hiyo ilifuatwa na waabudu wa Yehova, kama Ibrahimu alivyoonyesha kwa kumpeleka mjumbe aende kwa watu wa ukoo wake katika nchi yake mwenyewe akamtafutie Isaka mwanawe mke badala ya kuchukua mmojawapo wa binti za Wakaanani ambao alikuwa akikaa kati yao.(Mwanzo 24:3,4)”
Lakini, hiyo haina maana ya kwamba yafaa mtu leo aoe au aolewe na mtu wa ukoo wake wa karibu sana, kwa maana hiyo ingeweza kuleta magumu na kufanya watoto wazaliwe wakiwa na kasoro Fulani. Lakini hali za jamaa moja zinahusu sana kanuni za watu. Wakati wa utoto na ujana, mwenendo wa mtu na maoni yake yanaongozwa na hali jamaa. Watu wawili wanapokuwa na hali moja ya maisha, wanaona kuwa vyepesi zaidi kupatana. Lakini, watu wasio wa hali moja za maisha na ukoo mmoja wanaweza vilevile kufanya mageuzo mema katika ndoa, sana sana wote wawili wakiwa wamekomaa moyoni.
Kwa wazi, inafaa sana ikiwa unaweza kujua habari za jamaa ya mtu unayetazamia kuoana naye. Chunguza vilevile ujue uhusiano wake na jamaa hiyo na wazazi na ndugu na dada zake kama wapo. Anatendeaje wazee, au anapatanaje na watoto wdogo?
Ijapokuwa unakuwa mwangalifu katika mambo yote, yakupasa bado ukumbuke hili: Watu wawili hawawezi kufaana kabisa kabisa hata. Wote wawili watakuwa na makosa Fulani. Labda wanaweza kujua machache kabla ya kuoana; na mengine watayajua baadaye. Halafu?
Si makosa yenyewe yanayofanya ndoa zisifanikiwe, bali ni namna hao wawili wanavyoyaona. Unaweza kuona kwamba mema yanashinda mabaya, au unakaza fikra juu ya mabaya na kuyarudia ridia? Je! Uko tayari kukubali na kukumbuka kwamba mwenzako anaweza kufanya makosa, kama vile wewe unavyotaka utendewe? Mtume Petro alisema, “Upendo unafunika wingi wa dhambi.” (1 Petro 4:8) Je! Unampenda namna hiyo mtu Yule unayemfikiria kuoana naye? Ikiwa sivyo, afadhali usioane na mtu huyo?

Christianity in England on the decline, non-religious on the rise – census




Christianity in England on the decline, non-religious on the rise – census



( Breedon Priory Church near to Breedon on The Hill, Leicestershire, England, 2 December 2006/Oxymoron))
The number of Christians in England and Wales declined by 13 percent over the past decade, while the non-religious population grew from 15 to 25 percent, the most recent national census has revealed.
Christianity remains by far the largest religion in the country, with more than 33 million adherents amongst Britain’s 61 million population, but over 14 million people professed to have no religion at all.
Despite this fall-off in support, church leaders welcomed the Office of National Statistics’ findings.
“These results confirm that we remain a faithful nation,” said the Reverend Arun Arora, Director of Communications for the Archbishop of Canterbury’s Council.
But with a near-doubling in those identifying themselves as non-religious, secular commentators too have greeted the census results.
“This is a really significant cultural shift. To see such an increase in the non-religious and such a decrease in those reporting themselves as Christian is astounding,” said Andrew Copson, Chief Executive of the British Humanist Association.
Amidst the overall downturn in attendance, leading church figures remain upbeat.
The Archbishop of Canterbury, the most senior cleric of Britain’s established Church of England, has said that cathedral congregations have grown over the past few years.
At the same time, many individual city churches have seen their congregations expand massively.
Even those situated within the sparsely populated streets of London’s financial district have reported signs of growth.
“The number of people who are nominally Christian has gone down, but that of those who are truly committed hasn’t,” said the Reverend Oliver Ross, Rector of the thriving St Olave church.
The last 10 years have also seen the number of Muslims increase from 1.5 million to 2.7 million, while the Buddhist, Hindu, Jewish and Sikh populations have also risen.
Other census figures indicate that the number of people belonging to the “white” ethnic group decreased by five percent from the last census.
The latest release of census results comes at a trying time for the Church of England.
The appointment of women bishops was controversially rejected at a church council last month, while parliament is currently engaged in a hotly contested debate on gay marriage, which the Church of England opposes.
Information for Northern Ireland and Scotland is conducted by their own national statistic bodies.

Global funding for the fight against malaria has stalled in the past two years, threatening to reverse what the World Health Organisation (WHO) says are "remarkable recent gains" in the battle to control one of the world's leading infectious killers.
After rapid expansion between 2004 and 2009, funding for malaria prevention and control leveled off between 2010 and 2012 - meaning there were fewer life-saving steps taken in hard- hit malarial regions such as sub-Saharan Africa.
"If we don't scale up vector control activities in 2013 we can expect major resurgences of malaria," said Richard Cibulskis, lead author of the WHO's World Malaria Report, which was published on Monday.
"Vector control" means stopping transmission of the disease with tools such as treated mosquito nets. The report found that deliveries of such nets to endemic countries in sub-Saharan Africa dropped from 145 million in 2010 to an estimated 66 million in 2012.
"This means that many households will be unable to replace existing bed nets when required, exposing more people to the potentially deadly disease," the report said.
Malaria is caused by a parasite carried in the saliva of mosquitoes and kills hundreds of thousands of people a year, mainly babies and children under the age of five in Africa.
According to WHO data, the disease infected around 219 million people in 2010, killing around 660,000 of them. Robust figures are, however, hard to establish and other health experts say the annual malaria death toll could be double that.
GLOBAL TARGETS
An estimated $5.1 billion a year is needed between 2011 and 2020 to get malaria medicines, prevention measures and tests to all those who need them in the 99 countries which have on-going transmission of the disease.
"Essentially, with the tools that we've got, we need to make sure that we continue the investments in the control measures that we have," Cibulskis told a news conference in Geneva.
"If we don't do that, malaria will bounce back. As soon as you take bed nets away, malaria will come back. If you stop indoor residual spraying, it will come back, and with a vengeance. So yes, we need to keep on investing in malaria ultimately until new tools are developed."
The WHO says while many countries have increased financing for malaria, the total available global funding remained at $2.3 billion in 2011 - less than half of what is needed.
"Global targets for reducing the malaria burden will not be reached unless progress is accelerated in the highest burden countries," Robert Newman, director of the WHO Global Malaria Programme, said in statement with the report.
"These countries are in a precarious situation and most of them need urgent financial assistance to procure and distribute life-saving commodities."
The WHO report found that by far the greatest impact of malaria is concentrated in 14 endemic countries which account for an estimated 80 percent of malaria deaths.
Nigeria and the Democratic Republic of the Congo are the most affected countries in sub-Saharan Africa, while India is the hardest hit in South East Asia.
WHO director general Margaret Chan wrote in a forward to the report that there is now an urgent need to identify new sources of funding to boost and sustain malaria control.
"We also need to examine new ways to make existing funds stretch further by increasing the value for money of malaria commodities and the efficiency of service delivery," she said.
The Roll Back Malaria Partnership, which includes the WHO, UNICEF and the World Bank, said it was already exploring several options, including financial transaction taxes, airline ticket taxes and a potential "malaria bond" to encourage more involvement from private sector investors.
Fatoumata Nafo-Traore, executive director of the Roll Back Malaria Partnership, said Mozambique and one other African country were preparing to pilot such a bond in 2013, with the hope that other countries would follow their example.
(Reporting by Kate Kelland; Additional reporting by Tom Miles in Geneva.